Book details
| Book type | Bible |
| Book format | hard cover |
| Author | |
| ISBN | --- |
| Product Code | -- |
| Number of page | -- |
| publisher | -- |
| weight | 100gm |
| height | 200 mm |
| width | 140 mm |
PRODUCT DESCRIPTION
kwa msomaji.
Hii ndiyo tafsiri mpya ya neno la Mungu katika lugha ya Kiswahili. imefanywa kwa matumizi
ya wakristo wa Kanisa la Mungu katika nchi kunakosemwa Kiswahili. Tafsiri nyingi za Kiswahili zilizo mbalimbali katika watu hao waliofanya tafsiri hizi tunazozipenda, ambazo kwa hizo tumepata
baraka kuu za kiroho.
lakini haiwezekani kwamba watu wa British and foreign Bible society london, waendelee kupiga chapa
Biblia katika msemo wa Kiswahili cha kingazija na cha kiunguja, na jumuiya nyinginenezo kupiga chapa
nyingine; basi imeadhiniwa ya kwamba roho ya umoja itazidi kuonekana katika kanisa la Mungu kila mahali katika Afrika ya mashariki kama ikiwezekana kutengenezwa ilitupasa kuchagua na kuyatumia yote yaliyokuwa katika tafsiri za zamani, ili kufanya kitabu kimoja kipya. kazi hii inaendelea sasa kwa miaka mingi, na hao wenye kutafsiri wamesaidiwa katika kazi
na watendakazi wenzi wao wengi. wazungu kwa Waafrika , pande zote Afrika mashariki. Zaidi ya yote tumejua ya kwamba Mungu Roho Mtakatifu ametuongoza na kutusaidia katika kazi hii, nasi twatumaini sana ya kwamba kwa nguvu za Roho yeye yule, tafsiri hii nayo itawaletea baraka kwa wote waisomao.
Read More >>>`
IF YOU LIKED THE ABOVE ITEM YOU MAY ALSO LIKE THE FOLOWING PRODUCTS